Washukiwa wa ugaidi Ufaransa wauliwa
 Washukiwa wa ugaidi Ufaransa wauliwa
Askari wa Ufaransa katika juhudi za kupambana na washukiwa wa ugaid
HomeHabariKimataifa

Washukiwa wa ugaidi Ufaransa wauliwa

Askari wa Ufaransa katika juhudi za kupambana na washukiwa wa ugaid Wakuu wa usalama wa Ufaransa wanaeleza kwamba  washukiwa waw...

Wakuu wa usalama wa Ufaransa wanaeleza kwamba  washukiwa wawili kwenye shambulizi katika ofisi za jarida la Charlie Hebdo wameuwawa na mateka wao kuachiliwa wakati wa uvamizi ulkofanywa na maafisa wa usalama kaskazini mashariki ya Paris.

Kwenye uvamizi mwingine siku ya Ijuma, mshambulizi aliekuwa amewashika mateka watu kadhaa ameuwawa kwenye duka la chakula la kiyahudi lakini polisi wamesema kwamba mateka watatu wamekufa pia katika operesheni hiyo.

Milipuko na milio ya bunduki ilisikika kati kati ya Paris na mtaa wa viwanda wa kaskazini wa Dammartin–en–Goele wakati polisi na wanajeshi walipoingia kwa wakati mmoja adhuhuri ya leo.

Ndugu wawili Cherif na Said Kouachi ambao walitajawa kama washukiwa wakuu katika shambulizi baya la juma hili kwenye ofisi ya gazeti la vichekesho mjini Paris walitoka ndani ya ghala ambapo walikuwa wamejificha na kuanza kuwafyetulia risasi polisi walipokaribia. Waliuliwa wakati polisi waliokuwa wengi walipo wafitulia risasi.

Na wakati wa shambulio mjini Paris kwenye duka la vyakula, maafisa wa usalama walivamia duka  karibu na mtaa wa Porte de Vincennes mahala ambapo wayahudi wengi wanapoishi.

Walimuua mtu aliekuwa na bunduki amabae alikuwa ameingia ndani ya duka hilo na kuwashika mateka wanunuzi na wafanyakazi. Maafisa wa usalama wamesema kulikuwa na mateka angalao watano na wane wao waliuwawa na haijabainika nani aliyewauwa na wakati walipouliwa.
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Washukiwa wa ugaidi Ufaransa wauliwa
Washukiwa wa ugaidi Ufaransa wauliwa
http://gdb.voanews.com/9B556D5D-7919-4D96-B18E-36ED4F88EE1E_w640_r1_s.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/washukiwa-wa-ugaidi-ufaransa-wauliwa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/washukiwa-wa-ugaidi-ufaransa-wauliwa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy