Profesa Muhongo ajiuzulu, asema yeye ni mtu safi:: Sakata la ESCROW

Waziri wa nishati na madini, Prof. Sospeter Muhongo

HomeHabariKitaifa

Profesa Muhongo ajiuzulu, asema yeye ni mtu safi:: Sakata la ESCROW

Waziri wa nishati na madini, Prof. Sospeter Muhongo Kufuatia kuhusishwa na sakata la uchotwaji wa mabilioni ya fedha katika akaun...

Kufuatia kuhusishwa na sakata la uchotwaji wa mabilioni ya fedha katika akaunti ya Tegeta Escrow, Waziri wa Nishati na madini Profesa Sospeter Muhongo ameamua kumuandikia barua Raisi ya kujiuzulu wadhifa wake.



Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Profesa Muhongo ameelezea furaha yake ya kupatikana kwa maendeleo ya haraka katika wizara yake kwa kipindi chake akisema kuwa nidhamu na uwajibikaji vilikuwa dira ya maendeleo wizarani hapo.

Profesa Muhongo amekwenda mbali zaidi na kueleza kuwa anaamini kujiuzulu kwake kutaisaidia Serikali na Bunge kutuliza malumbano ya Sakata hilo ambalo linazidi kurudisha nyuma maendeleo ya nchi.

Amesema yeye si mwizi na hawezi kuuza utu wake kwa kupewa rushwa ili kuwakandamiza watanzania.

“Nimeamua kujiuzuru kwa dhati kabisa bila kushinikizwa na mtu yeyeote, inaonekana mimi ndiyo nitamaliza mjadala huu wa sakata la Escrow, tuna mambo mengi ya kitaifa yanayotakiwa kujadiliwa lakini watu wamekazana na Escrow, nimemuandikia Rais barua rasmi ya kujiuzuru wadhifa wangu, amesema Profesa Muhongo.


Amesema pamoja na kujiuzuru anatarajia mapema kuzungumza na watanzania ili kuwaeleza ukweli wa sakata la Escrow na kujiuzuru kwake ili kuvunja majungu yanayoendelea kuitesa Tanzania na watu wake.


Amesema yeye amelelewa katika malezi yenye maadili mema na kwamba tokea alipomaliza masomo yake aliaswa kutopokea ama kutotoa rushwa hivyo hawezi akapokea rushwa kwa ajili ya kuutukana utu wa mtanzania hicho ndicho kinachomgharimu.
Kwa habari zaidi soma hapa www.epaper.mcl.co.tz
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Profesa Muhongo ajiuzulu, asema yeye ni mtu safi:: Sakata la ESCROW
Profesa Muhongo ajiuzulu, asema yeye ni mtu safi:: Sakata la ESCROW
http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2600680/highRes/929367/-/maxw/600/-/139fdua/-/muhongo.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh0rDdHITOnqPEj3KBjHvWFOjcmvWqcJU32Hq306pqoFZQzsuP1ntX4ZQjeqAzYIPsU6kS5zFw-C1rKGaM0tWD6w0sa2RfVkOhQtfSbTdy10vYnMMA4059QKGBgI9z6LFVs7Uqo4DRZuYo/s72-c/DSCF1873.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/profesa-muhongo-ajiuzulu-asema-yeye-ni.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/profesa-muhongo-ajiuzulu-asema-yeye-ni.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy