Juzi niliposti picha ya KITALE (Kwasasa unaweza kumuita MKUDE SIMBA) akiwa anapigwa KISS ZITO na PENNY lenye hisia...
Juzi
niliposti picha ya KITALE (Kwasasa unaweza kumuita MKUDE SIMBA) akiwa
anapigwa KISS ZITO na PENNY lenye hisia kali (Daah mtoto P hadi
akafumba macho).....Nikawaachia wadau MKOMENT..Sasa leo tena mwanadada
Penny Kupitia akaunti yake ya INSTAGRAM ametupia hii....
Sina cha ku-comment zaidi ya kukumbuka msemo wa PANAPOFUKA MOSHI....UJUE KUNA MOTO!
COMMENTS