Nigeria:Hatuhitaji msaada wa UN
HomeHabariKimataifa

Nigeria:Hatuhitaji msaada wa UN

Wanamgambo wa Boko Haram wamekuwa wakihatarisha usalama hasa Kaskazini mwa Nigeria Nigeria haihitaji msaada wa Vikos...

Waisilamu waandamana dhidi ya C.Hebdo
Jermain Defoe atua Sunderland
Isarel inatupeleleza: Hezbollah
Wanamgambo wa Boko Haram wamekuwa wakihatarisha usalama hasa Kaskazini mwa Nigeria

Nigeria haihitaji msaada wa Vikosi vya Umoja wa Mataifa kupambana na Boko Haram.Mshauri wa maswala ya usalama wa taifa nchini humo ameiambia BBC.

Sambo Dasuki amesema Nigeria na majirani zake Niger,Chad na Cameroon wanamudu kusshughulikia swala la Wanamgambo wa kiislamu.

Dasuki amekiri kuwa Wanamgambo ni tishio kubwa la usalama nchini humo na kusema kuwa takriban asilimia 50 ya Jeshi la Nigeria limepelekwa kaskazini mashariki .

Amesema hatua hiyo inaashiria namna Jeshi lilivyolichukulia swala hili kwa umakini mkubwa.

Alipoulizwa na Kipindi cha Newsday cha BBC kama Nigeria inahitaji msaada wowote wa nje , alisema ''hapana''

Wanamgambo wa Boko Haram walianza Operesheni yao mwaka 2009, wakidai kuwa wanataka kuunda taifa la kiislamu.Tangu Serikali ilipotangaza hali ya hatari miezi 20 iliyopita kaskazini mashariki ili kupambana na Wanamgambo, kundi hilo limejiimarisha na sasa linadhibiti miji kadhaa
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Nigeria:Hatuhitaji msaada wa UN
Nigeria:Hatuhitaji msaada wa UN
http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/304/amz/worldservice/live/assets/images/2015/01/13/150113101124_boko_haram_baga_304x171_afp_nocredit.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/nigeriahatuhitaji-msaada-wa-un.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/nigeriahatuhitaji-msaada-wa-un.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy