Ndugu wa marehemu wameukosa mwili wa mtu wao, kaburi halikuachwa wazi! soma na angalia video hapa>>> Video
HomeMatukio

Ndugu wa marehemu wameukosa mwili wa mtu wao, kaburi halikuachwa wazi! soma na angalia video hapa>>> Video

Mwili wa mtu aliyeuawa na mamba katika Ziwa Baringo, Kenya mwezi December inasemekana umezikwa bila idhini ya  familia ya mtu huyo. ...

Watu wapatao 18 wamefariki nchini Sudan Kusini
Wema Sepetu, Ray , Hemedy PHD Wanyakua Tuzo Za ‘Tuzo Za Watu 2015’
HALI NI ILIVOKUWA JANA UDOM, KWAGEUKA KAMA VITANI>>>>Soma na angalia hapa

Mwili wa mtu aliyeuawa na mamba katika Ziwa Baringo, Kenya mwezi December inasemekana umezikwa bila idhini ya  familia ya mtu huyo.

Inatolewa inapelekwa mahali pengine ambayo hata hatujui ni ajabu sana… Sisi tumesema tunataka mwili wa mtoto wetu, tunataka mwili wa mtoto wetu mara moja” alisema ndugu wa marehemu.

Familia hiyo iliandaa kaburi la kumzika ndugu yao lakini ikashindikana kutokana na mwili wake kukosekana katika chumba cha kuhifadhia maiti ambapo inasemekana kuwa baada ya Polisi kufika katika eneo ambalo mtu huyo aliuawa na mamba, waliwaamrisha ndugu zake wasiufuate mwili huo kwa kuwa walikuwa wakiupeleka kuufanyia upasuaji ili kuweza kubaini kifo chake, lakini baadaye ndugu walipokea taarifa ya ndugu yao kuzikwa kwenye kaburi la siri.

Mpaka sasa wazee wakasema okay chukueni miti ili ipresent huo mwili, ukiletwa  inatolewa, hatuwezi kuchimba kaburi bila mtu… hii kaburi atakula watu sasa kwetu” alisema ndugu mwingine wa marehemu.

Familia hiyo imeitaka Serikali kuingilia kati ishu hiyo na kueleza nani aliyetoa maamuzi ya kuuzika mwili wa ndugu yao.
Video kutoka kituo cha K24



Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Ndugu wa marehemu wameukosa mwili wa mtu wao, kaburi halikuachwa wazi! soma na angalia video hapa>>> Video
Ndugu wa marehemu wameukosa mwili wa mtu wao, kaburi halikuachwa wazi! soma na angalia video hapa>>> Video
http://i0.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/01/K24.jpg?resize=434%2C281
https://i.ytimg.com/vi/QYU4nA62i_s/default.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/ndugu-wa-marehemu-wameukosa-mwili-wa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/ndugu-wa-marehemu-wameukosa-mwili-wa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy