.jpg)
WAKAZI
WA KATA YA SEKE IDIDI WILAYANI KISHAPU WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA
NA WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA SOSPETER MUHONGO (KATIKATI) MARA
BAADA YA KUMKABIDHI ZAWADI YA MBUZI WAWILI KAMA PONGEZI KWA KAZI
NZURI YA KUSAMBAZA UMEME KATIKA KATA HIYO.
MUHONGO APATA MAPOKEZI MAKUBWA SHINYANGA..AITWA MZEE WA NGUZO
WAKAZI WA KATA YA SEKE IDIDI WILAYANI KISHAPU WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFES...
.jpg)
WAKAZI
WA KATA YA SEKE IDIDI WILAYANI KISHAPU WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA
NA WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA SOSPETER MUHONGO (KATIKATI) MARA
BAADA YA KUMKABIDHI ZAWADI YA MBUZI WAWILI KAMA PONGEZI KWA KAZI
NZURI YA KUSAMBAZA UMEME KATIKA KATA HIYO.
.jpg)
Wakazi wa kijiji cha Ndoleleji wilayani Kishapu wakimsikiliza kwa makini Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (hayupo pichani). Profesa Muhongo ameahidi kuwapatia umeme kabla ya tarehe 30 Aprili, mwaka huu.
.jpg)
Wakazi wa Bubiki wilayani Kishapu wakimkabidhi Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (kushoto) zawadi ya mbuzi wawili kama pongezi kwa kazi nzuri ya kusambaza umeme katika kata hiyo.
Mbunge wa Jimbo la Kishapu Suleiman Masoud Nchambi akisisitiza jambo wakati wa mkutano huo
.jpg)
Wakazi wa Kata ya Mwamalasa wilayani Kishapu wakimkabidhi Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo ( wa tatu kutoka kulia) zawadi ya mbuzi wawili kama pongezi kwa kazi nzuri ya kusambaza umeme katika kata hiyo.
![]() |
|
![]() |
Wakazi wa kijiji cha Ndoleleji wilayani Kishapu wakimsikiliza kwa makini Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (hayupo pichani). Profesa Muhongo ameahidi kuwapatia umeme kabla ya tarehe 30 Aprili, mwaka huu. |
![]() |
|
.jpg)
Mbunge wa Jimbo la Kishapu Suleiman Masoud Nchambi akisisitiza jambo wakati wa mkutano huo
![]() |
Wakazi wa Kata ya Mwamalasa wilayani Kishapu wakimkabidhi Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo ( wa tatu kutoka kulia) zawadi ya mbuzi wawili kama pongezi kwa kazi nzuri ya kusambaza umeme katika kata hiyo. |
.jpg)
COMMENTS