Mswada uliozua zogo DRC kurekebishwa
Mashirika ya kutetea haki za binadamu yanasema kwamba watu 40 wamefariki katika vurugu ingawa serikali imekanusha hilo
HomeHabariKimataifa

Mswada uliozua zogo DRC kurekebishwa

Mashirika ya kutetea haki za binadamu yanasema kwamba watu 40 wamefariki katika vurugu ingawa serikali imekanusha hilo Baraza la Senat...


Baraza la Senate nchini DRC limepiga kjura kufanyia mswada marekebisho mswada uliopendekeza sheria za uchaguzi kufanyiwa mabadiliko.

Mswada huo ndio uliozua vurugu na ghasia katika Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo kwa wiki moja.

Mabadiliko hayo sasa yanafuta kipengee ambacho kingechelewesha uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi ujao.

Wapinzani wa Rais Joseph Kabaila wanasema hii ni njama ya Rais kufanya mageuzi ya kikatiba hali ambayo itampa fursa Kabila kusaialia madarakani kwa muhula mwingine.

Kura ya mwisho kuhusu mswada huo itafanyika wiki ijayo katika bunge la waakilishi na baraza hilo la Senate.

Huduma ya internet sasa imerejeshwa nchini humo, katika juhudi za serikali kusitisha vurugu ingawa mitandao ya kijamii bado imevurugwa ili kutatiza mawasiliano.

Mashirika ya kutetea haki za binadamu yanasema zaidi ya watu 40 waliuawa katika vurugu hizo ingawa serikali imepinga madai hayo. >>>BBC
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Mswada uliozua zogo DRC kurekebishwa
Mswada uliozua zogo DRC kurekebishwa
http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/01/22/150122074240_drc_vurugu_640x360_bbc_nocredit.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/mswada-uliozua-zogo-drc-kurekebishwa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/mswada-uliozua-zogo-drc-kurekebishwa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy