Liverpool yaimarisha matokeo yake
LIverpool yaibuka mshindi dhidi ya Sunderland
HomeMichezoKimataifa

Liverpool yaimarisha matokeo yake

LIverpool yaibuka mshindi dhidi ya Sunderland Bao la kipindi cha kwanza lililofungwa na mchezaji Lazar Markovic lilitosha kuipa ushi...

Shi'ite militias expand influence, redraw map in central Iraq
Azimio kuhusu Palestina lakataliwa
Sheria mpya ya usalama Kenya

Bao la kipindi cha kwanza lililofungwa na mchezaji Lazar Markovic lilitosha kuipa ushindi Liverpool dhidi ya wenyeji wao Sunderland katika uwanja wa stadium of light.


Licha ya Sunderland kujaribu kufanya mashambulizi katika lango la Liverpool,ni wageni wao ndio waliodhibiti asilimia kubwa ya mechi hiyo huku mchezaji Coutinho akiimarisha safu ya kati na ile ya mashambulizi ya Liverpool.

Liverpool walinyimwa penalty ya wazi katika dakika za kwanza kabla ya Markovic kuwapita walinzi wa Sunderland na kucheka na wavu
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Liverpool yaimarisha matokeo yake
Liverpool yaimarisha matokeo yake
http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/01/06/150106210133_steven_gerrard_640x360_pa_nocredit.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/liverpool-yaimarisha-matokeo-yake.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/liverpool-yaimarisha-matokeo-yake.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy