Isarel inatupeleleza: Hezbollah
wapiganaji wa kundi la Hebollah
HomeHabariKimataifa

Isarel inatupeleleza: Hezbollah

wapiganaji wa kundi la Hebollah Ki...

Kiongozi wa kundi la wapiganaji wa Kilebanoni la Hezbollah amethibitisha taarifa zinazodai kuwepo mmoja wa viongozi wa juu ndani ya kundi hilo anatuhumiwa kutumwa na Israel kuwapepeleza.
Shekh Sheikh Hassan Nasrallah amesema kiongozi huyo anayetuhumiwa tayari anashikiliwa na kundi hilo tangu abainike miezi mitano wakati akifanya kazi kwenye idara ya usalama ya kundi hilo la Hezbollah.

Kauli ya Shekh Nasrallah imekuja siku chache baada ya kutolewa taarifa kupitia vyombo vya habari vya Lebanon zinazodai kuwepoa kwa ofisa wa ngazi za juu wa Israel miongoni mwa wapiganaji haoa ambaye yupo kwa kazi maalum.

Hii si mara ya kwanza kwa kundi la wapiganaji wa Hezbollah kujikuta wakiwa na watu wanaowapeleleza miongoni mwao
Hata hivyo Hezbollah imewahi tena kumbaini mtu aliyekuwa akiwapeleleza,japo kuwa kwa sasa usaliti huo unawakumba wakiwa katika wakati mgumu wa mapigano dhidi ya serikali ya Rais Assad

Chanzo BBC
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Isarel inatupeleleza: Hezbollah
Isarel inatupeleleza: Hezbollah
http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2014/07/09/140709115628_shiite_volunteers_from_the_iraqi_ketaeb_hezbollah_iraq_624x351_afp.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/isarel-inatupeleleza-hezbollah.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/isarel-inatupeleleza-hezbollah.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy