ORODHA YA WACHEZAJI 37 WA SIMBA WATAKAOCHEZA KIMATAIFA

  KLABU ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes imewasilisha majina ya wachezaji 31 waliosajiliwa kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa B...


 KLABU ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes imewasilisha majina ya wachezaji 31 waliosajiliwa kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika msimu wa 2021/2022.

 

Klabu hiyo itakayoiwakilisha Tanzania kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika imeelezwa kuwa imepeleka idadi kubwa ya wachezaji waliosajiliwa CAF kwa mara ya kwanza tangu ilipoanza kushiriki michuano hiyo.

 

Kwa upande wa watani zao Yanga SC, imeelezwa kuwa wao wamewasilisha orodha ya wachezaji 28 waliowasajili kwa ajili ya michuano hiyo ya Klabu Bingwa Afrika.

 

Wachezaji hao waliosajiliwa kwa ajili ya michuano ya Afrika, makipa ni wanne (4) ambao ni; Aishi Salum Manula, Benno David Kakolanya, Jeremiah Kisubi na Ally Salim.

 

Mabeki ni tisa (9) ambao ni; Erasto Edward Nyoni, nahodha msaidizi Mohammed Hussein Tshabalala, Gadiel Michael, Henock Inonga ‘Varane’, Israel Mwenda, Joash Onyango, Pascal Wawa, Kennedy Juma na Shomari Salum Kapombe.

 

Viungo wapo kumi na tatu (13) ambao ni; Abdulswamad Kassim, Bernard Morrison, Duncan Nyoni, Hassan Dilunga, Jimmyson Mwanuke, Jonas Mkude, Mzamiru Yassin, Pape Ousmane Sakho, Peter Banda, Rally Bwalya, Sadio Kanoute, Thadeo Lwanga na Ibrahim Ajibu Migomba.

 

Washambuliaji wapo watano (5) ambao ni; Nahodha John Raphael Bocco, Meddie Kagere, Chriss Mugalu, Yusuph Mhilu na Kibu Denis.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly

COMMENTS

BLOGGER
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,2861,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: ORODHA YA WACHEZAJI 37 WA SIMBA WATAKAOCHEZA KIMATAIFA
ORODHA YA WACHEZAJI 37 WA SIMBA WATAKAOCHEZA KIMATAIFA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjRmYMHHh0-nKMjeRJzpz94vMs2HDXFWkaTmyYW7qf1Je7okSL2vTq4gdJPfw6EorCJ1uV3HsBqW0mj7Al8oXuTDcKaopWOD1vlRYLB2hgOJdg6oSono6FD34SUvoaXBLBH9nfKf23Ie_53/w640-h426/28_manula-196183927_551891942464633_891353540212491085_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjRmYMHHh0-nKMjeRJzpz94vMs2HDXFWkaTmyYW7qf1Je7okSL2vTq4gdJPfw6EorCJ1uV3HsBqW0mj7Al8oXuTDcKaopWOD1vlRYLB2hgOJdg6oSono6FD34SUvoaXBLBH9nfKf23Ie_53/s72-w640-c-h426/28_manula-196183927_551891942464633_891353540212491085_n.jpg
Antagon Blog
http://antagonf.blogspot.com/2021/09/orodha-ya-wachezaji-37-wa-simba.html
http://antagonf.blogspot.com/
http://antagonf.blogspot.com/
http://antagonf.blogspot.com/2021/09/orodha-ya-wachezaji-37-wa-simba.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy