NABI AANZA NA MAYELE PAMOJA NA MAKAMBO
HomeMichezo

NABI AANZA NA MAYELE PAMOJA NA MAKAMBO

  K OCHA Mkuu wa  Yanga, raia wa  Tunisia, Nasreddine  Nabi, amepunguza muda wa  mapumziko wa washambuliaji  wake Wakongomani, Heritier  Ma...

 

KOCHA Mkuu wa Yanga, raia wa Tunisia, Nasreddine Nabi, amepunguza muda wa mapumziko wa washambuliaji wake Wakongomani, Heritier Makambo na Fiston Mayele.


Hiyo ikiwa ni siku chache 
tangu watoke kusaini na kuomba ruhusa ya kurejea nyumbani kwao Kinshasa, Congo kwa ajili ya mapumziko na kumaliza matatizo.

 

Nyota hao wawili walisaini mikataba yao juzi kwa kila mmoja kusaini miaka miwili baada ya kufikia muafaka mzuri na mabosi wa Yanga.

 

Mmoja wa mabosi wa Yanga, ameliambia Championi Ijumaa, wachezaji hao juzi usiku walisafiri kuelekea Congo kwa ajili ya kukamilisha matatizo ya kifamilia kabla ya kurejea tena.


Bosi huyo alisema kuwa washambuliaji hao waliomba ruhusa ya wiki mbili ambazo kocha huyo amezikataa huku akiwapa wiki moja pekee.Aliongeza kuwa lengo la kuwakatalia washambuliaji hao ni ili waiwahi kambi ya timu iliyopangwa kuwa nchini Morocco.

 

“Siku chache baada ya kusaini mikataba ya kazi ndani ya Yanga, Makambo na Mayele jana (juzi) usiku waliondoka nchini kurudi kwao kujiweka sawa tayari kwa kazi.

 

Makambo alitua nchini hivi karibuni bila begi lolote ili kuja kukamilisha dili lake, lakini jana (juzi) viongozi wa Yanga walieleza anakwenda kuoa lakini kocha Nabi amempa wiki moja pekee.

 

“Washambuliaji hao wote walisafiri pamoja kuelekea Congo kwa ajili ya kumaliza matatizo ya kifamilia,”alisema bosi huyo.

 

Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga, Haji Mfikirwa alizungumzia hilo kwa kusema: “Ni kweli washambuliaji hao wamerudi nyumbani kwao kwa ajili ya kumaliza matatizo ya kifamilia lakini watarejea nchini haraka.”



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: NABI AANZA NA MAYELE PAMOJA NA MAKAMBO
NABI AANZA NA MAYELE PAMOJA NA MAKAMBO
https://i0.wp.com/globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2021/08/YANGA-1.jpg?resize=723%2C800&ssl=1
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/nabi-aanza-na-mayele-pamoja-na-makambo.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/nabi-aanza-na-mayele-pamoja-na-makambo.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy