AISHI MANULA AINGIA ANGA ZA WAARABU, MABOSI WAWEKA MKWANJA WA MAANA KUMPATA
HomeMichezo

AISHI MANULA AINGIA ANGA ZA WAARABU, MABOSI WAWEKA MKWANJA WA MAANA KUMPATA

  WAKATI kipa wa Simba, Aishi Manula akiendelea kung’ara kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu, taarifa kutoka Sudan zinase...


 WAKATI kipa wa Simba, Aishi Manula akiendelea kung’ara kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu, taarifa kutoka Sudan zinasema kwamba, Rais wa Al Merrikh, Adam Sudacal, ametoa takribani shilingi 230 kuinasa saini yake.

 

Waarabu hao wa Sudan, wanaonekana kuwa siriaz katika kuinasa saini ya Manula baada ya kutengeneza rekodi ya kutoruhusu bao katika mechi tatu za hatua ya makundi ya michuano hiyo msimu huu.

 

Chanzo makini kimeliambia Spoti Xtra kuwa, Kocha Mkuu wa Al Merrikh, Lee Clark, amemuomba rais wa klabu hiyo, Adam Sudacal ampatie nafasi ya kumsajili Manula ili aendelee kukiboresha kikosi chake jambo ambalo amekubaliwa na kinachosubiriwa ni Simba kupokea ofa yake.


“Kuna uwezekano mkubwa wa Manula kutokuwa naye msimu ujao endapo Simba watakubali ofa ya Al Merrikh ambao wanamtaka kipa huyo.


“Dau lao waliloweka ni dola laki moja ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 230, za Kitanzania” kilisema Chanzo hicho.

 

Msimu huu Manula amekuwa kwenye kiwango bora katika michuano hiyo ambapo mpaka sasa amecheza jumla ya mechi saba na kuruhusu bao moja tu dhidi ya FC Platinum hatua ya mtoano. Ana clean sheet sita. Mkataba wake unaisha 2022.


Manula kwa sasa yupo na timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars ambayo kesho ina mchezo dhidi ya Equatorial Guinea ambao ni kwa ajili ya kufuzu Afcon.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: AISHI MANULA AINGIA ANGA ZA WAARABU, MABOSI WAWEKA MKWANJA WA MAANA KUMPATA
AISHI MANULA AINGIA ANGA ZA WAARABU, MABOSI WAWEKA MKWANJA WA MAANA KUMPATA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjr14MCzyLj_lLGlxUSNpqOZkNme2thKZess2GMOqkNSnlpDHyACzAZm1Xa1R8Df8QpQxIlGUzvL_eKVMJ90Ra8P6Y7jcbzbAs1c44s6ypoMN0jLMZRajgMeVLEKdDf17NOoaKJshthiKas/w640-h426/Manula+Stars.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjr14MCzyLj_lLGlxUSNpqOZkNme2thKZess2GMOqkNSnlpDHyACzAZm1Xa1R8Df8QpQxIlGUzvL_eKVMJ90Ra8P6Y7jcbzbAs1c44s6ypoMN0jLMZRajgMeVLEKdDf17NOoaKJshthiKas/s72-w640-c-h426/Manula+Stars.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/aishi-manula-aingia-anga-za-waarabu.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/aishi-manula-aingia-anga-za-waarabu.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy